Saturday, October 6, 2012

RAIS KIKWETE AKIFUNGUA MKUTANO WA DIASPORA JIJINI EDMONTON HUKO CANADA

Rais Kikwete akiwa na kamati ya maandalizi

Rais Kikwete na viongozi wengine wakiimba wimbo wa Taifa katika ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton, Canada, kabla ya kufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini humo (Tanzania Diaspora Conference) Ijumaa jioni ya Oktoba 5, 2012


Rais akiutubia kwenye mkutano huo


Rais Kikwete akiangalia zawadi ya kinyago kilichochongwa kwa jiwe, kutoka kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania waishio Edmonton, Dkt Hassan Katalambula na MC wa shughuli hiyo Dkt Sophie Yohani katika ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton, Canada, baada ya kufungua mkutano


Rais Kikwete na baadhi ya watanzania waishio Canada

Rais Kikwete akiwa na wasanii waalikwa kutoka Tanzania Joseph Haule 'Profesa J' (kushoto) na Mzee Yusuf katika ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton, Canada, kufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini humo (Tanzania Diaspora Conference) Ijumaa Oktoba 5, 2012.