Friday, October 5, 2012
HIZI NDIZO COMBI(TAHASUSI)MPYA KWA WANAFUNZI WA A-LEVEL KUANZIA MWAKA 2013
Combination (tahasus) hizi mpya zimeanzishwa na serikali kupitia wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi kwa vijana watakao jiunga na kidato cha Tano kwa mwaka 2013
Tahasusi hizo pamoja na shule zitakazo kuwa zinafundisha ni kama ifuatavyo.
1. CPA - Chemistry, Physics and Accountancy
Wavulana Galanosi/ Wasichana Ruvu.
2. ABE - Agriculture, Biology and Economics
Wavulana Galanosi/ Wasichana Ruvu
3. ACG - Agriculture, Chemistry and Geography
Wavulana Lyamungo/Wasichana Machame
4. PGE - Physics, Geography and Economics
Wavulana - Ndada, milambo, songea, bagamoyo, sengerema, pugu, na karatu
Wasichana - Ifunda, songea, nganza, weruweru, na bagamoyo
5. CBM - Chemistry, Biology na Mathematics
Wavulana - Tosamaganga, Milambo, -Ihungo, Njombe, Minaki, Same, Lugoba
Wasichana - Ifunda, nganzaN loleza na lugoba.
Chanzo cha taarifa: Barua ya Mkurugenzi wa Sekondari ya tarehe 24/9/2012, kwa Maafisa wa Elimu-Wilaya, Tanzania Bara.