Thursday, October 11, 2012

CCM KIRUMBA KUWAKA MOTO LEO WAKATI WA MECHI KATI YA YANGA NA TOTO AFRIKA


KIKOSI kizima cha timu ya yanga leo kimetua jijini mwanza kwa ajili ya kuendelea na mechi zake za ligi kuu ya vodacom na kesho kinatarajiwa kuingia katika kiwanja cha CCM kirumba kuchuana vikali na wenyeji wao wa mkoani ambapo ni timu ya Toto Afrika