WAISLAMU WAANDAMANA KULAANI FILAMU INAYOMKASHIFU MTUME WAO
Waislamu waliondamana leo jijini Dar es Salaa, kulaani filamu ya Innocence of Muslim wakiwa wameshika mabango ya kuashiria laana kwa Marekani na Israel na pia wametaka ubalozi wa marekani nchini Tanzania Ufutwe.
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, akitangaza maazimio katika mkutano huo.
Tunalaani Filamuuuuuuu!!! Hatutaki Ubalozi wa Marekaniiiii