| Reli ikiwa imewekwa mchanga ikiwa inaonekana kupendeza na hii ni kwa ajili ya usaffirishwaji wa abiria utakao anza mapema mwezi wa kumi mwaka huu. |
| Hivi ndivyo karibu nusu ya Reli hii inavyo onekana kwa sasa |
| Mafundi wakiwa kazini kujenga kituo cha kusubiria abiria maeneo ya tabata relini. |