WASHINDI SABA WA VUMBUA HAZINA KUTOKA SERENGETI WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO
Hawa ndio washindi wlioshinda katika bahatinasibu inayochezeshwa na kampuni ya Bia ya Serengeti, walishinda washindi 7 ambapo watano walijishindia jenereta kila mmoja na wawili wakajishindia Pikipiki.
Meneja Bia ya Serengeti akisisitiza jambo kabla ya kukabidhi zawadi kwa washindi