Sunday, August 12, 2012

UCHAKACHUZI WA PICHA

ni kwa jinsi gani wtu walivyo na tabia za ajabu za kuchakachua picha? Picha hii imefumwa kwenye moja ya mtandao ikiwa na maelezo kwamba Kanumba amemzukia lulu mahakamani.