Friday, August 10, 2012

TIGO YATOA VITABU 300 KWA CHUO CHA UDOM


Profesa Ludovick Kinabo (katikati) akipokea msaada wa vitabu kutoka kwa meneja uhusiano na udhamini wa Tigo Bw. Edward Shila Tigo ilitoa msaada  wa Vitabu 300 kwa Chuo kikuu cha Dodoma ikiwa ni mwendelezo wa Vitabu vilivyotolewa mwakajana , anayeshuhudia ni mkurugenzi wa Tigo kanda ya kati, Fadhila Said.

Meneja uhusiano na udhamini wa Tigo Bw. Edward Shila, akionesha maboksi ambayo ndani yake kuna vitabu 300 vilivyotolewa na kampuni ya Tigo kusaidia maendeleo ya elimu katika chuo cha UDOM.