Wednesday, August 8, 2012

PREZOO ALIVYOPOKELEWA BAADA YA KUFIKA NCHINI KWAKE AKITOKEA BBA

Prezzo msanii wa muziki kutoka Kenya, akihojiwa na waandishi wa habari mara baada ya kufika nchini kwake akitokea Big Brother Africa ambapo alikuwa Mshindi wa Pili. 

Ahasanteni Mashabiki wangu



Prezoo akiwa na mama yake mzazi