Hili ndilo gari jipya la Ommy Dimpoz ambalo thamani yake acording to millad Ayo official Website Gari hili limenunuliwa kwa h, Milioni 27 na zote ni mafanikio ya nyimbo yake moja ya Nai Nai. |
Ommy Dimpoz amesema pesa zote za kulinunua hili gari
imetokana na pesa alizolipwa kutoka kwenye show alizofanya, kwa sasa pia yuko
kwenye harakati za kukamilisha ujenzi wa nyumba yake Tegeta Dar es salaam.
Picha kwa Hisani ya Millad Ayo official website