Friday, August 3, 2012

NGASA AKABIDHIWA JEZI NAMBA 16 YA SIMBA

Mashabiki waliofurika kumlaki wakiwa wamelizunguka ari lililokuwa limembeba Ngasa

Ndani ya Jezi namba 16 ya Simba

Makamu Mwenyekiti wa Simba Geofrey Nyange 'Kaburu' akimkabidhi jezi atakayokuwa akiitumia mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Mrisho Ngasa