Wadau
wa timu ya Tukuyu Star Banyambala ya Mbeya wakiwa tayari kwa safari ya kuelekea
Tukuyu kwa ajili ya Kongamano la Kuifufua upya timu hiyo iliyovuma miaka ya
1980 na 1990 katika soka la Tanzania na ilifanikiwa kuchuka ubingwa wa Bara
mwaka 1986. katika picha kulia ni Kocha Kenny Mwaisabula Mzazi wa pili kutoka
kulia waliosimama ambaye ndiyo kiongozi na Makamu mwenyekiti wa Tukuyu
Star Family, Fullshangweblog itakuwa ikikumuvuzishia moja kwa moja matukio ya
kongamano hilo kutoka mjini Tukuyu Kesho. yakirushwa na Kamanda wa
Fullshangweblog John Bukuku. kwa hisani ya www.fulshangwe.blogspot.com |