Wadau
kutoka Shirika la GNI nchini Korea walioshiriki kujitolea kujenga shule ya
Sekondari Maendeleo Nakasangwe huko Madale wakiwa katika hafla ya
uzinduzi wa shule hiyo iliyozinduliwa na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam leo.
Mwenyekiti wa Kia motors,
Cho Kwi Hyun akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Said Meck Sadik mfano wa
ufunguo wa moja ya magari manne ambayo kampuni hiyo imetoa kwa shule ya
Maendeleo iliyopo Nakasangwe Madale wakati wa hafla ya uzinduzi wa shule
hiyo leo kulia ni Mkurugenzi Shirika (GNI), Yang Jin OK na kushoto ni
Mwenyekiti wa Serikali Mtaa Madale Alex Mbuya