MDAU wa michezo na aliewahi kuwa Mjumbe wa Kamati ya
Utendaji ya Villa Squad Fc ya Magomeni jijini Dar es Salaam, Ally Kindoile
amejitosa kuwania nafasi ya Katibu Msaidizi wa Chama cha Soka Mkoa wa
Kilimanjaro (KRFA), unaotarajiwa kufanyika mkoani humo Agosti 28 mwaka huu.
|