Sunday, August 5, 2012

MKUTANO WA KUJADILI MAENDELEO YA JIMBO LA BUMBULI UMEFANYIKA JANA JIJINI DAR

Mbunge wa bumbuli mhe; january Makamba akiongea na wakazi kutoka wilaya ya  lushoto na bumbuli katikaka ukumbi wa karimjee jijini Dar es salaam jana mkutano uliokuwa na lengo kujadili maendeleo ya wilaya ya bumbuli na kutambulisha shirika la maendeleo  bumbuli,
Pia January Makamba amesema katika kipindi cha mwaka 2011-2012 kiwango cha elimu ya wilaya hiyo imekuwa chini na kusababisha vijana wengi katika mkoa wa Tanga kuwa na sifa ya kuuza chipsi na kubeba mizigo badala ya kufanya kazi kwenye makampuni.


wakazi kutoka wilaya ya bumbuli wakiwa katika mkutano huo wa kujadili maendeleo ya wilaya ya bumbuli


Mkurugenzi wa shirika la bumbuli Bw,Najim Msenga (kushoto)mwenyekiti mteule wilaya ya bumbuli Bw;Amiri Sheiza (kulia)katibu wa CCM wilaya ya lushoto Bw;Loth ole Lemeirut (katikati)wakijadiliana jambo mara baada ya kumalizika kwa mkutano huo leo

katibu wa CCM wilaya ya lushoto Bw;Loth ole Lemeirut (kushoto)na mwanakamati wa shirika la bumbuli Bw;Naaman Shauri wakifuatilia kwa umakini mada iliokuwa ikendelea katika mkutato huo leo