Monday, August 6, 2012

KUMBE SOKO LA ILALA LINAWEZA KUWA SAFI!!!

Hili ni eneo la nyuma ya soko la Boma Ilala ambalo huwa linakuwa chafu hamna mfano harufu ya kila namna lakini leo limeonekana la tofauti kidogo na lenye mvuto baada ya manispaa hiyo kuamua kulifanyia usafi.

Embu tazama