Kocha mkuu wa Simba Milovan Cirkovic anatarajiwa
kutua nchini Jumamosi usiku kuendelea na kazi yake ya kukinoa kikosi hicho.
Milovan
alikwenda kwaoa Serbia kwa mapumziko mafupi baada ya Simba kutolewa katika
michuano ya klabu bingwa Afrika Mashariki na KAti maarufu kama Kombe la Kagame.
Ofisa
habari wa Simba Ezekiel Kamwaga amesema leo kwamba tayari kocha huyo
ameshatumiwa tiketi yake ya ndege.
Amesema
kikosi cha Simba kimaendelea na mazioeziambapo asubuhi wachezaji wanafanya
ufukweni na jioini katika viwanja vya TCC Chang'ombe |