Balozi Profesa Mahalu akiwa
pamoja na Mdogo wake Mirasi Rama wakitoka nje ya Mahakama ya Kisutu Mchana huu
mara baada ya kushinda kesi iliyokuwa ikimkabili akidaiwa kununua nyumba ya
Ubalozi wa Tanzania nchini Italia, Akisoma hukumu iliyosomwa kuanzia Saa
sita leo na Hakimu Mfawidhi mkazi wa mahakama ya Kisutu Mh. Ilivin Mugeta
imemtoa Balozi Profesa Mahalu katika hatia na kumwachia huru
|