Mwenyekiti wa Baraza la vijana Chadema (BAVICHA)John Heche akihutubia umati wa watu
Mkoani Tunduma ambapo wanachama wengi wa CCM wakiwemo wa UVCCM walirudisha kadi zao za
kujivua UCCM na kuhamia Chadema.
Katibu mkuu wa Bavicha Bw, Deogratias Siale akipokea kadi ya
kujivua uanachama wa UVCCM kutoka kwa
Mwanachama wa UVCCM.