Mchezaji
wa timu ya taifa ya Italia ambaye hivi karibuni amesajiliwa na
Liverpool amefany kituko kingine uwanjani kwa kuvua bukta wakati wa
mazoezi na kuonyesha nguo yake ya ndani.Wachambuzi wa soka wanasema Mario ataendelea kufanya vituko hivi kwenye maisha yake yote ya soka,ndiovyo alivyo.
No comments:
Post a Comment