Sunday, September 28, 2014

NYANGUMI MWINGINE AONEKANA UFUKWENI PEMBA TAZAMA PICHA HAPA


Wafanyakazi wa Uvuvi pemba wakimpima Nyangumi aliyeonekana Pemba akiwa ameanguka ufukwe wa bahari wa shamiani.
Wananchi wakikata minufo ya Nyangumi aliyeangukia katika ufukwe wa bahari ya Pemba maeneo ya shamiani, kama wanavyoonekana pichani wakiwa katika harakati hizo.

No comments:

Post a Comment