Monday, August 11, 2014

SAMAKI MTUUU MAARUFU KAMA NGUVA AONEKANA AKIWA AMEFARIKI UFUKWENI MWA BAHARI

 
Habari zilizotufikia,Samaki huyu adimu kabisa duniani kumtia machoni amenekana amefariki ama amekufa pembeni mwa ufukwe wa bahari huko BENIN, ujerumani. Kama ulidhani ni hadithi za kuhadihiwa tu ujue hivi vitu vipo na vinaishi!!Nguva 


No comments:

Post a Comment