Friday, August 8, 2014

Pichaz za baadhi ya Wasanii waliotua Mwanza tayari kwa ajili ya Serengeti fiesta CCM Kirumba
59prssBaada ya kupatikana kwa mshindi wa Super Nyota na washindi wa Dance la Fiesta ambao wote walipatikana jana kwenye ukumbi wa Jembe ni Jembe Beach Resort leo wasanii mbalimbali wameongea na waandishi wa habari.
Wasanii hao ni wale ambao wataperfoam kesho waliofika ni pamoja na Ney wa Mitego,Young D,Mr.blue,Barakah Da Prince,Chegge na Temba,Madee,Makomando,Stamina,Young Killer,Vanessa Mdee na wengine kibao.
Miongoni mwa wasemaji wa mkutano huu na waandishi wa habari ni pamoja na Mwenyekiti wa shamrashamara za Serengeti Fiesta Sebastian Maganga ambaye amesema kuwa sababu ya kuanza kwa Serengeti Fiesta kwa mkoa wa mwanza ni kama watu wana kumbukumbu mwaka 2004 Serengeti Fiesta ya kwanza kutoka nje ya Dar ilikua ni ndani ya jiji la Dar ambayo ilikua na kauli mbiu ya Utamaduni unaendelea.
Kwa miaka 10 hii kwa sasa wameweza kushuhudia namna ilivyosambaza upendo ambayo imewajumuisha wasanii wadogo na wakubwa na safari hii Serengeti fiesta imeongeza miji na itakuwa miji 18 badala ya 14 ya mwaka jana.
Hizi ni baadhi ya picha za mkutano huo.
1prss
2prss
3prss
4prss
6prss
7prss
5prss
11prss
12prss
13prss
14prss
15prss
16prss
17prss
18prss
28prss
29prss
30prss
33prss
46prss
43prss
42prss
38prss
37prss
36prss
47prss
49prss
58prss
59prss
61prss
66prss
77prss
75prss
74prss
73prss
68prss
67prss
78prss
80prss
82prss
83prss
89prss

No comments:

Post a Comment