Thursday, July 31, 2014

Mapokezi Ya Diamond Platnumz Kwenye Barabara Za Dar es salaam[Buguruni,Kariakoo Na Sinza].

Wakaziwa jiji la Dar es salaam walijitokeza kwa wingi katika kumpokea msani wanaopenda kumwita shujaa wao Diamond Platnumz pale alivyowasili na tuzo ya Msanii bora wa Kiume wa Africa Mashariki kutoka kwenye Tuzo za AFRIMMA Marekani. Mapokezi haya na umati wa watu wengi hivi uliandamana naye kutoka Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere mpaka kufikia nyumbani kwake sinza. Msafari ulipita njia ndfu ilimashabiki waone tuzo yao. Sehemu kama Kariakoo na Buguruni watu walionekana kufurahi zaidi.
Diamond Alivyowasili Dar es salaam July 30 2014 2 Diamond Alivyowasili Dar es salaam July 30 2014 3 Diamond Alivyowasili Dar es salaam July 30 2014 4 Diamond Alivyowasili Dar es salaam July 30 2014 5 Diamond Alivyowasili Dar es salaam July 30 2014 6 Diamond Alivyowasili Dar es salaam July 30 2014 7 Diamond Alivyowasili Dar es salaam July 30 2014 8 Diamond Alivyowasili Dar es salaam July 30 2014 9 Diamond Alivyowasili Dar es salaam July 30 2014 10

No comments:

Post a Comment