Thursday, July 10, 2014

Hii ndiyo ahadi anayodaiwa Roma na Mashabiki wa Germany.

romaaaaMechi kati ya Brazil na Germany ilibeba hisia za watu wengi sana na wengi wao walijaribu kuweka ahadi ambazo inawezekana ngumu kuwezekana,mmoja wapo ni msanii Roma Mkatoliki ambaye yeye alisema endapo Germany ingeshinda basi angehama kutoka Tongwe Records kwenda Sharobaro kwa Bob Junior.
romaaBaada ya Germany kushinda ile ahadi yake inabidi aitimize na XXL ya Clouds Fm wamemwambia kuwa wanasubiri ngoma inayofuata itoke Sharobaro sasa je?itawezekana kwa yeye kufanya muziki wa kuimba.
88.4 Clouds Fm inasikika ukiwa Mtwara.

No comments:

Post a Comment