Sunday, June 29, 2014

ONA HII, MASANJA MKANDAMIZAJI AKIMUOMBEA ADAMU MCHOVU NJE YA OFISI ZA CLOUDS...

                            

Inaweza kuwa ni ajabu sana kwako kuona mchekeshaji huyu mwenye bwembwe na vituko vingi kumuwekea mikono Adam mchovu na kumuombea serious, wakati mwingine mpaka leo watu hawaamini kwamba masanja
ameokoka na yupo serious na anachokifanya. wakati mwingine watu hucheka sana kusikia masanja akijiita Pastor to be, au mchungaji mtarajiwa, wengi bado kwao ni kama uigizaji. lakini the truth is masanja yupo serious kabisa hata kama huamini anachokifanya

1 comment:

  1. Aaa! si ajabu kwani andiko lazima litimie; na kwa Mtumishi wa Mungu "Masanja Mkandamizaji" limetimia andiko la 2Kor2:17 " Hata imekuwa mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya..." na mara unapokipokea kipawa cha Roho Mtakatifu (Mdo1:8) unavikwa nguvu ...yale yaliyotendeka ndani yake na kupitia kwake- "Masanja Mkandamizaji" na yanayoendelea kutokea kwake na kupitia kwake ni matokeo ya NGUVU hiyo. Nguvu inayoweza kuleta mabadiliko, Nguvu ya uumbaji ni zaidi ya nguvu inayoweza kusababishwa n a mlipuko mkubwa wowote unaoweza kuufikiria au kudhani. Ni zaidi ya bomu la atomic au nyukilia ...oooh! ni zaidi ya Sunami.
    Kwako mtumishi wa Mungu "Masanja Mkandamizaji", tunza utakatifu na wala usimzimishe Roho Mtakatifu maana unaweza kuanza kwa Roho ukamaliza kwa Mwili na hilo litakuwa chukizo kwa Muumba wetu...songa mbele, piga vita vizuri vya imani, vita kali bila kumwaga damu wala kuvuruga amani...Big up.

    ReplyDelete