Juzi hapa zilisambaa picha tofauti za mheshmiwa huyu akiwa na wadada
wawili tofauti katika mionekano ya kuashiria kuna mapenzi baina yao.
Kama kawaida ya wanasiasa wengi walivyo waongo, Mheshmiwa huyu
alikimbilia Clouds FM kukanusha kuhusika kwake kwenye picha hizo.
Pamoja na sababu zingine, Mheshmiwa huyu alidai kua Picha za
Uso/Sura/Kichwa chake zilitumika kuunganisha kwenye kiwiliwili cha mtu
mwingine aliekuwepo na huyo dada ili ionekane ni yeye wakati sio kweli.
Sasa hapa chini zimenaswa picha mbalimbali za Mheshmiwa huyu akiwa na
Nguo zilezile alizozikataa hapo mwanzo kua sio yeye bali sura ndio
ilikua ya kwake.
No comments:
Post a Comment