Wednesday, June 11, 2014

Kama Sio kwa Vitisho Alivyovitoa Zitto kwa CHADEMA Nahisi yangemkuta kama ya Chacha Wangwe
Nadhani mnayakumbuka maneno haya...

''MIMI NIMEAGA KWETU NA YEYOTE ANAEFIKIRIA KUNIGUSA KWA NAMNA YOYOTE SIDHANI HATA PANYA HUKO KWAO KAMA ATASALIMIKA''...

Hayo yalikuwa ni maneno ya zitto kabwe kuwaambia wanachadema wenye hila za kila aina na husda kwake za kisiasa na kimaisha kwa ujumla.

Hivi majuzi chuki hizo na uzandiki za chadema zimejidhihirisha zaid baada ya viongozi wa juu wa chama hiko kukacha kuhudhuria mazish ya mama mzaz wa zitto kabwe na kukimbilia kwenye harusi ya mbunge wao huko Arusha.

Hicho ni kipimo kidogo sana cha utu na uwajibikaji hata kama kifo hutokea bila taarifa lakini kwa ulimwengu wa sasa na ufanis wa usafiri wangeweza kuchukua hata chopa kwenda kuonesha ubinadamu wao.

Kwani ukiachilia mbali kuwa mama yule kuwa mzazi wa hasimu wao zitto kabwe pia alikuwa ni mjumbe wa kamati yao kuu ya chama.

Thats why nawaambia kuwa chuki ambayo wahafidhina wa chadema especially top level of management wanayo dhidi ya zitto kabwe siyo ya kifani.

Nashawishika kuamin kama zitto kabwe asingetoa vitisho vike dhidi yao leo hii yangeshamkuta yaliyokamkuta marehemu chacha wangwe.

 

No comments:

Post a Comment