Sunday, June 1, 2014

Huyu ni shabiki wa kipekee wa Brazil? picha 13 za maamuzi yake kwa miaka 20 sasa

Screen Shot 2014-06-02 at 7.37.50 AMJina lake ni Nelson Paviotti ambae anachokifanya kwenye maisha yake ni kutimiza ahadi ambayo aliitoa kwamba kama Brazil ingeshinda kombe la dunia mwaka 1994, haya yote ndio angekua anayafanya.


Unaambiwa amekua akivaa nguo zenye rangi ya timu yake ya taifa (Brazil) kwa miaka 20 sasa hivi ambazo ni njano, kijani, blue na nyeupe…… rangi ambazo ndio zipo kwenye magari yake mawili ya VW Beetles na ndani kuna spika zinazocheza wimbo wa taifa kila anapoingia.
Ofisi zake na nyumbani kwake kote kunafanana rangi, yani mpango ni njano, blue nyeupe na kijani mpaka hata kwenye viatu.. computer, simu, mapambo ya nyumba na sehemu nyingine.
Screen Shot 2014-06-02 at 7.38.05 AMMwanasheria huyu ana umri wa miaka 57 sasa hivi.
Screen Shot 2014-06-02 at 7.39.18 AM
Screen Shot 2014-06-02 at 7.39.39 AM
Screen Shot 2014-06-02 at 7.40.18 AM
Screen Shot 2014-06-02 at 7.40.45 AM

Screen Shot 2014-06-02 at 7.41.06 AM
Hadi church?
Screen Shot 2014-06-02 at 7.42.24 AM
Screen Shot 2014-06-02 at 7.39.39 AM
Screen Shot 2014-06-02 at 7.23.33 AM
Screen Shot 2014-06-02 at 7.24.25 AM

Screen Shot 2014-06-02 at 7.37.25 AM
Home
Screen Shot 2014-06-02 at 7.37.40 AM

No comments:

Post a Comment