Friday, May 23, 2014

PENNY ASEMA SINA MPENZI MPYA

Mwanadada, Penny akanusha kujihusisha na mahusiano na mwanaume mwingine ikiwa ni muda mchache tangu aripotiwe kuachana na msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Diamond Platnum.Mwanadada huyo,ambaye alikanusha vikali tuhuma hizo, kwa madai kuwa baadhi ya watu wamekuwa wakifwatiria maisha yake kwa kumnyima uhuru kufanya jambo lolote lile.

Amedai kuwa kwa sasa hanampango wa kuwa na mwanaume ingawa muda ukifika ataweka wazi kila kitu, hivyo hataki watu kumfwatiria huku wakimnyima raha

No comments:

Post a Comment