Wednesday, May 28, 2014

Mmiliki wa Manchester United Malcom Glazer Afariki Dunia akiwa na Umri wa Miaka 85

 

Mmiliki wa club ya soka ya Manchester United Malcolm Glazer alieinunua club hiyo toka mwaka 2005, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85 huku akiacha mke, watoto sita na wajukuu kumi na nne.
Glazer aliyekua akiishi Palm Beach Florida Marekani, amekua akiugua kwa miaka kadhaa hivi sasa na biashara zake kama club ya Manchester United zimekua zikiendeshwa na familia yake.
Screen Shot 2014-05-28 at 11.38.55 PM 
Siku ya leo May 28 2014 ni mwaka mmoja umetimia toka afariki staa wa bongofleva Albert Mangweha ambapo leo hii dunia imepata misiba miwili mikubwa ambapo mmoja ni wa Mwanaharakati, mshairi na mwandishi mahiri wa vitabu duniani Maya Angelou pamoja na Malcom Glazer.
 Owner: Malcolm Glazer has died at the age of 85

Owner: Malcolm Glazer amefariki akiwa na umri wa miaka 85
Eyes on the prize: Glazer hoists the Vince Lombardi trophy aloft after the Tampa Bay Buccaneers beat the Oakland Raiders in 2003

Family matters: Glazer's sons Kevin, Avram and Joel are pictured at Old Trafford last year
Family matters: Glazer's sons Kevin, Avram and Joel are pictured at Old Trafford last year
Unpopular: Manchester United fans hang anti-Glazer banners in 2010
Unpopular: Manchester United fans hang anti-Glazer banners in 2010
- See more at: http://www.kengete.com/2014/05/breacking-newzmmiliki-wa-manchester.html#sthash.V4UMiRII.dpuf

No comments:

Post a Comment