Saturday, April 12, 2014

MAMA YAKE DUDUBAYA ATHIBITISHA KUKATWA SIKIO NA DUDU BAYA,, INASEMEKANA NI USHIRIKINA

 

 

 

 

 


Screen Shot 2014-04-11 at 5.28.49 PMSiku mbili zilizopita stori mbalimbali kwenye mitandao zilihusu msanii wa longtime kwenye bongofleva aitwae Dudubaya kudaiwa kumkata sikia Mama yake mkubwa kwa kinachosemekana kuwa tuhuma za kichawi lakini siku moja baadae Dudubaya alikanusha kupitia U Heard ya XXL Clouds FM kwamba hajamkata bibi yake sikio, yeye sio mtu wa kufanya hicho kitendo.
Sasa leo Mama mkubwa huyu wa Dudubaya amezungumza na Waandishi wa habari na kuthibitisha kweli kukatwa sikio na Dudubaya ambapo shahidi mwingine aliezungumza ni mjukuu wake.

No comments:

Post a Comment