Sunday, February 9, 2014

TRAFIC AKUTANA NA MKASA WA MWAKA BAADA KUSIMAMISHA GARI DOGO LA ABIRIA, KUMBE DEREVA NI RAIS WA KENYA MR UHURU KENYATA.


Hii imetokea kenya ambapo hivi juzi rais uhuru alikuwa akipita kuelekea katika hotel moja kwenye mkutano .... askari ambaye alikua zamu barabarani siku hiyo alilisimamisha gari ... ndipo rais alijaribu kama kumpita lakini askari huyo bila kujua alisimama imara ,,,, ndipo uhuru aliposhusha kihoo na kusema " ni mimi officer fungua" hata hivyo maaskari wamekuwa na furaha na utawala wa raisi huyo kwani wanadai siku hizi hawapati kazi ya kucontrol magari kwa ajili ya msafara wa rais kama ilivyokuwa utawala wa mwai kibaki

No comments:

Post a Comment