Friday, February 14, 2014

TAZAMA BAADHI YA PICHA ZAA BOB JUNIOR BAADA YA KURUDIANA NA MKE WAKE NA KUFANYA SHEREHE NDOGO NA PIA KILICHOANDIKWA NA MWANAMKE AMBAYE NDIO ILIBAINIKA KUWA CHANZO CHA KUVUNJIKA KWA NDOA HIYO

Mama wa mtoto wa kike mmoja na muigizaji kutoka kenya ambaye vile vile ni Promota ambaye alikumbwa na skendo kuwa ndiye chanzo cha ndoa ya msanii kutoka Tanzania Bob Junior na mkewe kuvunjika. Mwanadada huyu anayejulikana kwa jina la Ashlay Toto alikumbwa na skendo hiyo walipokuwa nchini Denmack na Bob Junior kikazi. baada ya skendo hiyo kumfikia mwanadada huyu alifunguka na kukanusha taarifa hizo vile vile Bob Junior naye pia alifunguka na kukanusha taarifa hizo.


Siku kadhaa zilizopita Bob Junior alifunga tena ndoa na aliyekuwa mke wake ambaye waliachana kwa kwa miezi kadhaa. Hapa mwanadada huyu kaamua kufunguka na kueleza hisia zake kuhusu ndoa hiyo


HIZI NDIZI PICHA ZA SHEREHE YAO

Ndoa ya msanii na mtayarishaji wa Bongo Fleva Bob Junior iliyosambaratika miezi kadhaa iliyopita kwa maneno kibayo ya wanandoa hao, hatimaye wiki kadhaa zilizopita waliweza kurekebisha tofauti zao na kuamua kurudi tena ndani ya ndoa. na hizi ni picha walipokuwa wanakaribishana kwenye ndoa kwa mara nyingine tena
credit : fol classic

No comments:

Post a Comment