UNAAMBIWA HUYU MTANGAZAJI ANAMILIKI JUMBA KALI ZAIDI LA HUKO MAREKANI, TAZAMA PICHA HAPA

Ellen
DeGeneres ndio wanasema mtangazaji anayeishi kwenye jumba kali zaidi
huko L.A Marekani. TMZ wame ripoti kuwa jumba hili ni kali na lenye
thamani kubwa zaidi kuliko jumba lake la awali alilonunua.
Jumba
lake la sasa lina thamani ya dola milioni $39,888,000 na linaitwa The
Brody House. Kiwanja kina eka 2.3 , vyumba sita vya kulala, mabafu sita,
bwawa la kuogelea , sehemu ya mazoezi na uwanja wa kucheza tennis.
No comments:
Post a Comment