Tuesday, January 14, 2014

KWA WALE WAFANS WA DIAMOND NA PROFESA JAY KAENI MKAO WA BURUDANI YAO SOMA ALICHOKISEMA PROFESA JAY HAPA
Legendary Hiphop Artist kutoka Tanzania Profesa Jay akiwa na Diamond ndani ya studio za Bongo Records Na Best Tanzania Producer of All Time P Funk Majani. Post Ya Profesa Kuhusu Hii Picha Iko Hapa


No comments:

Post a Comment