Saturday, November 23, 2013

ANGALIA UVAAJI WA MSANII DAVIDO ANAPOMUOMBA MUNGU 
 
Huyu ni mwanamuziki Mkubwa wa kimataifa kutoka Nigeria jina DAVIDO, aliyekuwepo Tanzania siku chache zilizopita. Akimuomba na kumshukuru Mungu wake kabla ya kupumzika. Davido ni msanii anayemjua sana MUNGU. nayeye akisema mwenyewe kuwa ''Mafanikio yangu yote ni kwasababu namshirikisha sana MUNGU, kwenye mambo yangu''

Kwenye swala zima la utafutaji wa pesa kuna mambo mengi tunayopitia na mengi hayampendezi MUNGU hivyo basi ni vyema tutenge muda wetu kila siku hata dakika kumi tu, kuomba atuongoze, atulinde pia kumshukuru na kumsifu.

No comments:

Post a Comment