Monday, October 7, 2013

VIJANA WAKAMATWA MSITUNI WAKIJIFUNZA UGAIDI WAKUTWA NA ZANA HATARI

 
BREAKING NEWS:
Vijana 11 wamekamatwa mkoani Mtwara wakifanya mazoezi katika msitu wa Makolionga na CD zenye mafunzo ya kigaidi za Al Qaeda pamoja na zana hatari

No comments:

Post a Comment