UJUMBE KUTOKA KWA PENNY BAADA YA KUWA AMEZIMIA JANA NA KUPELEKWA HOSPITALINI
Girl
Friend wa msanii wa bongo fleva 'Diamond' leo jioni amenitumia text
kunifahamisha kuwa ' Alikuwa Kazini Siku Nzima Na Kuwa Hajapata Tatizo
Lolote Leo Kuhusu Afya Yake. Taarifa Zilizo Sambaa Kuwa Alizimia Na
Kupelekwa Hospitalini Sio Za Kweli Kabisa.
Posted by
Boss Ngasa
at
08:53
No comments:
Post a Comment