Saturday, October 19, 2013

JB NA JOKATE MWEGELO KUANZA SHOOTING YA FILAMU MPYA WIKI IJAYO.

Habari za uhakika ambazo Swahiliworldplanet imezipata ni kuwa Jacob Stephen(JB) na Jokate mwegelo wanakuja na filamu mpya na shooting inatarajiwa kuanza wiki ijayo. Mastaa hao maarufu Swahiliwood wanatarajiwa kutikisa na filamu hiyo ambayo itakuwa na wasanii wengine pia.


JB tayari amecheza filamu nyingi huku Jokate akiwa na filamu chache lakini umaarufu wake ukiwa haushuki. Jokate ambaye pia ni mtangazaji wa Chanel O ya South Africa ameheza filamu kama vile From China With Love, Fake Pastors, Chumo na nyinginezo.
                                                               Jokate

No comments:

Post a Comment