Thursday, October 24, 2013

DIAMOND AFIKA LEADERS CLUB KUJIONEA JUKWAA LA FIESTA LINAVYOJENGWA SOMA ALICHOKISEMAKwa heshima ya Mashabiki zangu Nchi na Taifa langu
 ilinibidi nirudi Maalumu kabisa kwajili ya Shoo hii ya
 Fiesta Jumamosi pale Leaders Club ili
 kuwakaribisha wageni zetu toka nje... lakini
 pia kuwadhihirishia Wageni Hao kuwa Tanzania si
 ya legelege imebarikiwa Wasanii
 na wenye uwezo...! Tukutane pale leaders on saturday Madau wangu... 

No comments:

Post a Comment