Saturday, August 10, 2013

MODELS TOKA BONGO WAANZA PATA SHAVU LA KIMATAIFA

Ukiangalia watu hawa lazima utakuwa umeziona sura hizi kwenye matangazo au
hata mabango ya matangazo au hata kwenye pirika pirika za kutafuta mpunga
mjini bongo dsm....
Lakini hapa wapo kivingine kabisa yanii nikimaanisha shuguli zao kubwa za kama
wanamitindo zimeweza kuwatoa hadi hapo walipofika sasa lakini
hii ni kimataifa zaidi.... 
Namzungumizia Danny David & Maridadi,wanaofanya vizuri kwenye
maswala ya mitindo nchini,unaweza cheki picha hizi
za hivi karibuni walizopiga kutangaza vifaa vya kampuni ya michezo
Adidas,ukitofautisha tushazoea kuona matangazo kama haya
ya picha wanafanya wanamuziki wakubwa nje na wanamichezo
wakubwa,lakini hii inaonesha jinsi gani kwa kiasi kikubwa
tunaweza piga hatua kwenye sekta hii....


No comments:

Post a Comment