Matukio ya kikatili yameendelea kutikisa nchini Nigeria baada ya mwanamke mmoja kubakwa na kuzikwa akiwa mzima....
Taarifa toka katika mitandao ya
kinigeria zinadai kuwa mwanamke huyo alibakwa na kisha wabakaji
wakamfunga miguu na mikono.....
Zoezi la kumfukua likiendelea.....
Mwili wa dada huyo ukifukuliwa
Mwili umekwisha fukuliwa, bahati mbaya dada huyo amekwisha fariki....
Baada ya kumfunga,Mashetani hao
walichimba shimbo porini walikotekeleza unyama huo na kisha kumzika
akiwa hai ili kuficha ushahidi.....
Jeshi la polisi nchini humo lilifanikiwa kuipata habari hiyo masaa 12 baada ya mwanamke huyo kuzikwa akiwa hai....
Zoezi la kumfukua dada huyo lilianza, lakini bahati mbaya dada huyo alikuwa amekwisha fariki
No comments:
Post a Comment