Monday, June 3, 2013

MTIZAME SAMAKI WA AJABU ALIYEVULIWA UNGUJA

 
NI AJABU NA INASTAJABISHA:
Mchangamle kizimkazi,walikusanyika na kumshanga samaki
huyu wa ajabu ambae wavuvi na wakazi
wa maeneo hayo hawakuwahi kumwona,maana samaki huyu
aelewiki ni CHUI,DUMA au ni nini....
Nikaona nisistajabike mwenyewe nikuweke hapa wewe mpitiaji
wa This is diamond upate kujua
yanayoendelea Dunia.....kwangu mimi ni ajabu sijawahi
kuona kiumbe kama hicho.....

No comments:

Post a Comment