| Waumini walikuwa wamekaa eneo hili, ambapo baada ya Mlipuko huo eneo hilo lilizungushiwa uzio na Usalama kwa ajili ya uchunguzi zaidi. |
![]() |
| Hawa ni Baadhi tu ya Majeruhi |
![]() |
| Huyu Bwana naye ambaye jina lake halikuweza kufahamika kwa urahisi, alijeruhiwa na Kitu hicho |
| Watu walikimbia Ovyo ovyo bila kujali kuwa wamesahau viatu vyao. |



No comments:
Post a Comment