Monday, May 6, 2013

KIFAA CHA KULIPIA KODI KWA MFUMO WA DIGITALI

Kifaa Maalum kitakachotumika kulipia Kodi na kutoa risiti hapo hapo, kitafahamika kwa jina la EFD Device ambapo Meneja wa TRA Kinondoni Bw, Emanuele amewataka wafanya bihashara kutumia kifaa hicho kwa matumizi sahihi.

Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA akizungumza na Wafanyabihashara  Katika Warsha hiyo iliyofanyika katika hoteli ya Blue Pearl jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment