Wednesday, May 29, 2013

ILO yawataka waajiri wa ‘Housegirl’ kuwalipa Sh 65,000

housegal b8480
Shirika la Kazi Dunia (ILO), limewataka waajiri wa wafanyakazi wa nyumbani kuwalipa mshahara wa Sh65,000 kama ilivyopitishwa na Serikali.
Mkurugenzi wa ILO Tanzania, Alexio Musindo alisema licha ya wafanyakazi wa nyumbani kuwa na haki kama wengine kulipwa mshahara unaokidhi mahitaji, uzoefu unaonyesha wengi wao hubaguliwa na kunyanyaswa na waajiri.
Musindo alisema hatua hiyo inatokana na utii na ufuatiliaji mdogo wa sheria za kazi zilizopo....CHANZO MWANANCHI

No comments:

Post a Comment