Thursday, April 25, 2013

GODBLESS LEMA ANASAKWA NA JESHI LA POLISI NCHINI KWA MADAI KUWA AMEHUSIKA NA MAUAJI YA MWANAFUNZI MKOANI ARUSHA



Mbunge Wa Arusha Mjini Godbless Lema


Mh.Godbless Lema akihutubia wanafunzi waliokusanyika eneo la "freedom square" chuoni hapo.





Polisi wakichukua gari ya mbunge wa jimbo la Arusha


PICHA YA MAREHEMU HENRY KOGA ALIYECHOMWA KISU NA KUFARIKI JANA USIKU JIJINI ARUSHA

No comments:

Post a Comment