Thursday, March 14, 2013

VIONGOZI WA SEKTA YA ULINZI NCHINI WATEMBELEA OFISI YA NCHIMBI

Mwenyekiti wa Chama cha Sekta ya Ulinzi nchini (TSIA), Athuman Maige (katikati) akizungumza jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (kushoto) kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya chama chake na wizara hiyo. Kulia ni Katibu Mkuu wa chama hicho, Isaya Maiseli.

Mwenyekiti wa Chama cha Sekta ya Ulinzi nchini (TSIA), Athuman Maige (kulia) akizungumza jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya chama chake na wizara hiyo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani

No comments:

Post a Comment