Monday, March 25, 2013

TANZANIA YAIFUNGA MOROCCO 3-1

 Mshambuliaji wa Taifa Stars, Thomas Ulimwengu akichuana na beki wa Morocco, Achchakir Abderrahm katika mchezo wa kufuzu fainali za kombe la Dunia 2014 uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana. Stars ilishinda 3-1.
 Kikosi cha Taifa Stars kilichoisambaratisha timu ya Morocco kwa mabao 3-1 katika mchezo wa kufuvu fainali za kombe la Dunia uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
 Kikosi cha Morocco.
 Mshambuliaji wa timu ya soka ya Tanzania  ‘Taifa Stars’, Mbwana Samata akiruka juu kushangilia bao la 3 aliloifungia timu yake dhidi ya Morocco katika mchezo wa  kufuzu fainali za kombe la Dunia zitakazofanyika Brazil 2014 jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Amri Kiemba na Thomas Ulimwengu.
  Mshambuliaji wa Taifa Stars, Thomas Ulimwengu akichuana na beki wa Morocco, Achchakir Abderrahm katika mchezo wa kufuzu fainali za kombe la Dunia 2014 uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana. Stars ilishinda 3-1.

 Mbwana Samata kiwania mpira.
 Nyota wa mchezo, Mbwana Samata ambaye aliipatia timu yake mabao 2 
 Thomasi Ulimwengu akichuana na beki wa Morocco.

 Raha ya ushindi.

No comments:

Post a Comment